Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasiri la Buckingham limethibitisha kifo chake na kusema amefariki akiwa chini ya uangalizi wa matibabu huko Balmoral baada ya Madaktari kuwa na wasiwasi juu ya afya yake