AyoTV

VIDEO: Alichokiongea Anne Malecela Bungeni kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe na Rais

on

April 10, 2017 Mkutano wa bunge la saba umeendelea tena Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakijadili mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

Kati ya waliopata nafasi ya kuchangia maoni ni pamoja na Mbunge Mteule Anne Malecela ambaye hii inakuwa ni mara yake ya kwanza kusimama bungeni kutoa mchango wake tangu ateuliwe.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: Waziri Kigwangalla VS Mbunge Goodluck Mlinga 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments