Top Stories

Mama aangua kilio, tukio la Mwanae kuuawa kwa mapanga (video+)

on

Mara baada ya kusambaa kwa video na picha za Mwanadada alieshambuliwa kwa kupigwa na Mapanga hadi kufariki dunia.

Mwanadada huyo aliefahamika kwa jina la Zulfat Sheikhan Rashid alikuwa mkazi wa kiaga huko Unguja visiwani Zanzibar.

Tunae Mwenyekiti wa mtaa, Rajab Ased,Naibu amefunguka kupitia  Ayo TV kuhusiana na tukio hilo.

EXCLUSIVE: WAFUNGA NDOA WODINI BAADA YA MUME KUPATA AJALI NA KUKATWA MGUU NA VIDOLE, WOTE WAFUNGUKA

Soma na hizi

Tupia Comments