Top Stories

Mama afariki akiwa anapambania ujenzi wa nyumba ya daktari

on

Mama mmoja aliyejulikana  kwa jina la Mbwabi Mwirora amefariki dunia katika eneo la Kisimiri juu wilayani Arumeru mkoani  wakati wakifanya kazi ya pamoja yakujitolea kwa ajili yakujenga nyumba ya daktari

Mwenyekiti wa kijjiji hicho Mbaiyani Lukumay amesema walikuwa wanachi zaidi ya elfu moja wakati wa ujenzi huo kutokana na akina mama kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya baada ya akina mama kufariki.

TAZAMA STYLE ZA VIJANA WANAVYOCHEZA NA PIKIPIKI BILA WOGA ARUSHA “TUNAITA DEDE”

Soma na hizi

Tupia Comments