Top Stories

Mama ajinyonga kwenye banda la kuku kisa kudaiwa Elfu nne (+video)

on

Mama mmoja anayefahamika kwa jina la Mama Baby mkazi wa Arusha amejinyonga kwenye banda la kufugia kuku nyumbani kwake kwa madai ya kuzozana na mwenzake ambaye alikuwa akimdai Tsh.Elfu nne.

“Walianza kugombana na mwenzake ambaye inasemakana alikuwa anamdai, akamnyang’anya ndizi, akaondoka akiwa njiani akawa anaitafuta dawa ya panya akakosa”- Tatu Hamisi

Mtoto wa marehemu Beatrice Ernest amesema Mama yake alimtuma na aliporudi akamkuta ndani amejifungia, alimposhika shingo alikuwa hawezi kuhema.

Soma na hizi

Tupia Comments