Top Stories

Mama ajitosa Ziwani aokoa Watoto watatu “bora nife Mimi, imeua, nilivua nguo” (+video)

on

Kutoka Kigoma nakusogezea habari inayohusiana na boti iliyozama na kusababisha vifo vya Watu tisa katika Ziwa Tanganyika, Veronica Pascal ni mama ambaye ndani ya boti walikuwepo Watoto wake anatuelezea alivyozama Ziwani kuwaokoa.

WALIONUSURIKA KIFO BOTINI WASIMULIA MACHUNGU “TUMEJINASU KIFO, SHANGAZI HAONEKANI SHIDA SANA”

Soma na hizi

Tupia Comments