Top Stories

Mama aliyeuwawa na house boy familia yatoa kauli (video+)

on

NI Watoto watatu wa Mwanamke aitwae Elizabeth Shayo ambaye aliuwawa na kisha mwili wake kutupwa katika Mto Gona uliopo Himo Mkoani Kilimanjaro.

Watoto wake hawa wamesimulia mwanzo mwisho ilivyotokea na kutoa kauli, kila kitu tumekuwekea kwenye taarifa hii.

KAULI YA KWANZA YA ACT WAZALENDO BAADA YA MEMBE KUJIENGUA “ALIANDIKA BARUA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments