Top Stories

Mama anasomesha watoto kwa kuuza mahindi “nilipewa mtaji wa elfu tano” (+video)

on

Winfrida Chomba ni mama wa watoto watano mkazi wa Tabora shughuli yake kubwa ni kuuza mahindi ya kuchoma na kupitia kazi hiyo ameweza kusomesha watoto watatu ikiwemo mmoja ambaye amemaliza elimu ya Chuo cha Ualimu Moshi mkoani Kilimanjaro na sasa.

“Nilipewa mtaji wa shilingi elfu tano, nikaanza kuuza matunda, MUNGU akanisaidia nikapata nafasi ya kuuza mahindi hapo nkapata mtaji mwingine, nikanunua baiskeli, nikawa nalipa kodi ya nyumba na kusomesha Watoto” Winfrida

Soma na hizi

Tupia Comments