Top Stories

Mama ashtaki Polisi kaibiwa mbwa “namuota nimekaa nae miaka 7” (+video)

on

Stephanida Mbululo mwanamke mwenye asili ya kizungu umri wake miaka 59 mkazi wa Kapripoint Mwanza na amekuwepo Tanzania kuanzia miaka ya 90, amekwenda Polisi baada ya kupotelewa mbwa wake alieishi nae kwa miaka 7.

Stephanida anasema kinachomnyima furaha leo ni zaidi ya mwezi mbwa wake hajarejea nyumbani na muda mwingi amekuwa akimuwaza na kumuota ndotoni japo kwa sasa mapenzi yake yamebakia kwa paka wake.

JAMBAZI SUGU ‘PIMA’ , “MAMA MTU MZIMA, TUTAMPATA”

Soma na hizi

Tupia Comments