Top Stories

Mama asimulia jinsi Milioni 39 za SACCOS zilivyopotea kishirikina

on

Baada ya kupotea kwa Tsh. Million 39 za kikundi cha ujasiriamali cha ‘AMANI’ Ngusero,Arusha zikidaiwa kuyeyuka kishirikina nyumbani kwa Mweka hazina, Mwanachama wa kikundi hicho Aziza Abdallah amedai wameingizwa Mjini na kisha kurogwa ili wasidai fedha zao.

POLEPOLE “LIPUMBA NI MZEE ANANISEMA MIMI, WATU WA MBOWE NAO”

Soma na hizi

Tupia Comments