Leo August 18, 2020 Ninayo ripoti kutokea +254 Kenya Mwanamke mmoja anatuhumiwa kumuua na kumzika mtoto wa siku moja baada ya kulaumiana na mume wake juu ya kupata mimba nje ya ndoa.
Mume wa mwanamke huyo amekuwa mbali na mkewe kwa majukumu ya kikazi kwa zaidi ya mwaka na alishangazwa kusikia mkewe anatarajia kujifungua ambapo alimpigia simu kufahamu hilo.