AyoTV na millardayo.com zimefika nyumbani kwa Mama Kanumba na kuzungumza naye kuhusu hali ya kiafya ya Seth Bosco ambaye ni mdogo wa Marehemu Kanumba anayeshindwa kutembea baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA MAMA KANUMBA AKIELEZEA
SHILOLE AKEREKA “ROMA ANANIZALILISHA ARUDI TU NYUMBANI”