AyoTV

Mama Kanumba kafunguka hali ya Seth ‘Nimeteseka na mwanangu, Makonda anisaidie’

on

AyoTV na millardayo.com zimefika nyumbani kwa Mama Kanumba na kuzungumza naye kuhusu hali ya kiafya ya Seth Bosco ambaye ni mdogo wa Marehemu Kanumba anayeshindwa kutembea baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA MAMA KANUMBA AKIELEZEA 

SHILOLE AKEREKA “ROMA ANANIZALILISHA ARUDI TU NYUMBANI”

Soma na hizi

Tupia Comments