Habari za Mastaa

Mama wa Sharo Milionea kazungumza wasanii waliomtenga ‘Mimi Mlemavu’

on

Mama mzazi wa marehemu Sharo Milionea amezungumza kuhusu kumbukumbu ya siku ya kifo cha mwanae kilichotokea November 26 miaka saba iliyopita ikiwa kila ifikiapo siku hiyo humfanyia kisomo huko nyumbani kwake Tanga, Mama Sharo amesema kipindi cha nyuma baadhi ya wasanii waliokuwa karibu na mwanae walikuwa wakishiriki naye tofauti na sasa.

Mama Sharo amezungumza ikiwa ni siku ambayo baadhi ya wasanii wakiongozwa na Irene Uwoya walikwenda nyumbani kwake Tanga kumtembelea na kufanya kisomo kwaajili ya marehemu Sharo Milionea.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikia Mama Sharo Milionea akizungumza.

CASTO KAMJIBU TUNDA BILA UWOGA “WEWE NI VIDEO VIXEN TU UNAKUJA KUNIAMBIA NINI, MESSAGE ZA KUEDIT”

Soma na hizi

Tupia Comments