Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Jurgen Klopp amekiri inabidi awe mpole asimkwaze mama yake

on

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp na kocha wa Chelsea Frank Lampard kwa pamoja wameonesha mawazo chanya kuhusiana n uteuzi wa UEFA kumpa refa mwanamke Stephanie Frappart achezeshe mchezo wao wa UEFA Super Cup.

Stephanie mwenye umri wa miaka 35 kuelekea mchezo huo ndio atakuwa refa wa kwanza wa kike kuwahi kuchezesha mechi ya UEFA ya wanaume itakayochezwa Instabul nchini Uturuki leo.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema itabidi ajaribu kudhibiti mihemko wakati wa mchezo huo  kwa sababu ya uwepo wa refa mwanamke “vinginevyo Mama yangu atapatwa na hasira”>>> Jurgen Klopp

 

Soma na hizi

Tupia Comments