Habari za Mastaa

“Mama yangu, kabisa pole” Rotimi azungumza Kiswahili, afundishwa na Vanessa (+video)

on

Mpenzi wa staa wa bongo Vanessa Mdee, Rotimi ameonekana akijifunza kuongea lugha ya Kiswahili ambapo alikuwa anafundishwa baadhi ya maneno na mpenzi wake huyo.

Rotimi ameonekana akifundishwa kutamka maneno hayo kupitia Insta Story ya Vanessa Mdee ambapo alikuwa anamwambia ataje maneno ya Kiswahili kama “Ahh Mama yangu, jamaani kabisa polee.

Soma na hizi

Tupia Comments