Videos

VIDEO MPYA: Wanaume wenye Wake Wajawazito kwenye hii mpya ya Tunda Man ‘mama kijacho’

on

Mama Kijacho ni wimbo ambao Tunda Man kaamua kuelezea vitu ambavyo wanakutana navyo Wanaume pale ambapo wapenzi wao au wake zao wanapokua wajawazito, kaelezea visa ambavyo Wajawazito huvifanya.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments