Kocha Didier Gomes Octoba 27, 2021 aliongea na waandishi wa habari ikiwa ni saa chache baada ya kutangazwa kwa taarifa kuwa ameachana na club ya Simba SC baada ya kufungwa 3-1 na Jwaneng Galaxy ya Botswa na kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika.
KOCHA GOMEZ AZUNGUMZA BAADA YA KUFUKUZWA SIMBA”NIMEUMIA SANA”
You Might Also Like
Edwin TZA