Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mambo matano aliyosema Msemaji wa Serikali “Bilionea Laizer aliishangaza dunia”
Share
Notification Show More
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mambo matano aliyosema Msemaji wa Serikali “Bilionea Laizer aliishangaza dunia”
Top Stories

Mambo matano aliyosema Msemaji wa Serikali “Bilionea Laizer aliishangaza dunia”

August 15, 2020
Share
2 Min Read
SHARE

Msemaji Mkuu wa serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Pombe Magufuli imefanikiwa katika utekelezaji wa sera zake katika sekta mbalimbali zikiwemo za elimu, afya, miundombinu na uboreshaji wa uwekezaji.

Dkt. Abbasi ameyasema hayo wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano katika kipindi cha miaka mitano ambapo miongoni mwa mafanikio hayo ni pamoja na kuongezeka kwa  uzalishaji wa umeme nchini kutoka megawati 1,308 mwaka 2015  hadi kufikia megawati 1,602.32 mwaka 2020.

 “Tume ya Madini imeanza kazi kwa kasi katika kipindi hiki, marekebisho na kutungwa kwa sheria mpya za kusimamia mikataba yenye changamoto na umiliki wa madini vimefanyika na kuleta mageuzi makubwa” Abbasi

“Jumla ya TZS Bilioni 5.2 imelipwa kwa wananchi 618 kati ya 693 watakaopisha mradi katika eneo la Likong’o, Lindi.” Msemaji Mkuu Abbasi

“Serikali ya awamu ya tano pia imetumia takribani TZS Trilioni 1.109 ya fedha za ndani kutekeleza miradi mikubwa miwili ya umeme wa gesi: Kinyerezi-I Extension megawati 185 kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 188 sawa na zaidi ya TZS Bilioni 315.4” Msemaji Mkuu Abbasi

“Tume ya Madini imeanza kazi kwa kasi katika kipindi hiki, marekebisho na kutungwa kwa sheria mpya za kusimamia mikataba yenye changamoto na umiliki wa madini vimefanyika na kuleta mageuzi makubwa”Msemaji Mkuu Abbasi

“Kisa cha mchimbaji mdogo Saniniu LaIzer ambaye Juni 24, 2020 aliishangaza Dunia baada ya kuiuzia Serikali Madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 9.27 na kisha akapata jiwe la kilo 5.80 ni ushuhuda wa mafanikio ya ukuta wa Mirerani” Msemaji Mkuu Abbasi

WAZIRI “HUYO MWANAMKE ASIKANYAGE HAPA, TUKIPEWA MAJUKUMU MAKUBWA TUNABORONGA”

You Might Also Like

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA August 15, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Waziri “Huyo Mwanamke asikanayage hapa, tukipewa majukumu makubwa tunaboronga” (+video)
Next Article Binti wa Rais Putin wa Urusi amepewa chanjo ya corona
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?