Habari za Mastaa

Mambo yamenoga mtoto wa Kajala aanza safari kwenda chuo nje ya nchi (video+)

on

Ni Headlines za mtoto wa mwigizaji Kajala aitwae Paula ambae leo Septemba 30, 2021 ameonekana akiwa Airport Dar es Salaam akisafiri kuelekea kimasomo nje ya nchi.

Endelea kukaa karibu na Ayo TV & Millardayo.com tutamtafuta Mwigizaji Kajala ili aeleze sababu za kumpeleka mwanae huyo kimasomo nje ya nchi.

BABA LEVO KUHUSU NDOA YA RAY VANNY NA PAULA AFICHUA HILI

Soma na hizi

Tupia Comments