Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mambo 8 unayotakiwa kuyafahamu kuhusu Show aliyofanya Chris Brown Kenya
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Mambo 8 unayotakiwa kuyafahamu kuhusu Show aliyofanya Chris Brown Kenya
Habari za Mastaa

Mambo 8 unayotakiwa kuyafahamu kuhusu Show aliyofanya Chris Brown Kenya

October 10, 2016
Share
3 Min Read
SHARE

Ni Jumatatu poa sana mtu wangu, bila shaka ulikua na weekend nzuri pia, na kwa wale watu wangu kutoka Kenya najua ilikua poa zaidi baada ya kushuhudia bonge moja la show ya Mombasa Rocks iliyobeba mastaa wakubwa sana akiwemo Chris Brown kutoka Marekani, Wizkid wa Nigeria, Vanessa Mdee na Alikiba kutoka Tanzania. 

Pamoja na perfomance nzuri waliyoifanya mastaa hao, kumalizika kwa concert hilo kumeibua story mpya nyingi. Moja kati ya stori zilizotrend kwenye mitandao mara tu baada ya Breezy kutua Moi International Airport, iliibuka story kuhusu star huyo wa hit single ya Grass aint greener kusukuma simu ya shabiki wa kike aliyetaka kujipiga selfie na Chris bila ridhaa yake.

Issue nyingine kubwa ikawa ni kwenye mkataba wa show kati ya Chris Brown na Waandaaji wa tamasha la Mombasa Rocks, mkataba ulioibua mjadala kwenye social networks  kiasi kwamba issue ya simu ya shabiki ikasahaulika kabisa.

Mkataba wa show hii ulisainiwa na kampuni mbili ambazo moja wapo ni ya nchini Uingereza na nyingine ni Wale Wasee Limited ambao ni mapromota kutoka Kenya.

Sasa nakusogezea hii kuhusu vitu alivyovitaka Chris Brown mpaka anatua Mombasa.

1. Kwa mujibu wa mtandao wa KENYANS, Chris Brown amelipwa kiasi cha Shilingi Milioni 90 za Kenya ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni moja na milioni mia tisa (1,931,212,410.84) za Tanzania ili kufanya show hiyo kwenye eneo la Mombasa Golf club kwa muda wa dakika 90 tu.

Na kwa mujibu wa mkataba, mpaka kufikia September 30, Chris Brown alikuwa amelipwa kiasi cha Shilingi Milioni 55 za Kenya ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni moja na milioni mia moja themanini (1,180,185,362.18) zilizojumuisha zaidi ya Shilingi milioni mia nne ishirini za usafiri wake na management yake pamoja na zaidi ya Shilingi Milioni mia saba hamsini za malipo ya awali.

Halafu kiasi kinachobakia ambacho ni zaidi ya Shilingi Milioni mia saba hamsini na moja (751,027,048.66) kimelipwa baada tu ya Chris Brown kufika Mombasa, Siku ya Jumamosi asubuhi.

2. First class sound pamoja na taa za kutosha kwenye stage atakayofanyia kazi.

3. Huduma ya chakula chenye hadhi ya kistar.

4. Ulinzi mzito sawa na anaopewa kiongozi mgeni anapotembelea nchi nyingine.

5. Sehemu yenye viwanja vya kisasa ambayo yeye na team yake watakua wakipumzika.

6. Huduma nzuri kwenye Hotel aliyofikia yeye na team yake pamoja na chumba chenye hadhi ya Rais, kimoja chenye hadhi ya kati kwaajili ya Manager wake, na vingine kwaajili ya wapambe wake, na Hotel yenyewe iwe na hadhi ya Nyota Tano.

7. Hotel aliyofikia ilitakiwa kuwa jirani sana na eneo ambalo atafanya show.

8. Makubaliano mengine yotote ambayo yanahusisha Interviews za Radio na TV yalitakiwa kupewa kibali na meneja wa tour wa Chris Brown.

ULIMISS KUMUONA ALIKIBA KWENYE CONCERT LA MOMBASA? NIMEKUWEKEA HAPA

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

TAGGED: Chris Brown Kenya, Kenya
Admin October 10, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Tecno Phantom 6 Plus ilivyoanza kuuzwa DSM, wateja wataja kilichowavutia
Next Article Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania October 10 2016
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?