Habari za Mastaa

Mamia wapanga foleni kwenye nyumba ya Cris Brown kisa nguo na viatu

on

Mkali wa R&B Duniani Chris Brown amefanya mnada wa uuzwaji bidhaa zake ambazo tayari ameshazitumia au kuzivaa hasa nguo na viatu nyumbani kwake, mnada ambao utachukua siku mbili na jana siku ya Jumatano mamia ya mashabiki zake walijazana nyumbani kwake Los Angeles wakiwemo walanguzi na wanaotafuta biashara pamoja na bidhaa za kuuza walisubiri kwa muda ili waweze kupata bidhaa hizo

Chris Brown alituma vipeperushi kwenye akaunti yake ya Instagram na Twitter Jumanne usiku ambayo ilijumuisha anwani ya jumba lake lililopo katika kitongoji cha Tarzana kwenye Bonde la San Fernando Los Angeles Marekani akiwajulisha watu watakaovutiwa kwenda kupata bidhaa au hata kununua nguo za kuvaa kuhakikisha wanafika nyumbani kwake.

Na hili ndio balaa lililoyokea nyumbani kwake siku ya tarehe 6/11/2019.

SHILOLE KAFUNGUKA MA-X WAKE WALIOPITA “WALIKUWA MARIOO, ULIANZA ZAMANI”

 

Soma na hizi

Tupia Comments