Michezo

Man City Bingwa wa EPL kwa mara ya tano

on

Baada ya kipigo cha 2-1 cha Man United wakiwa nyumbani dhidi ya Leicester City, sasa ni wazi Man City anakuwa Bingwa wa EPL 2020/21 kutokana na kuwa na point 80 na hawezi kufikiwa na timu yoyote ile ya EPL.

Man United akishinda mechi zilizobaki Man City akapoteza basi atafikisha point 79 ambazo hazimzui Man City kuwa Bingwa.

Huu ni Ubingwa watano wa EPL kwa Man City katika historia yao ambao wameuchukua katika kipindi cha miaka 9 (2012, 2014, 2016, 2018 na 2021), sasa Man City inakuwa nafasi ya pili sawa na Chelsea kwa timu iliyotwaa EPL mara nyingi zaidi baada ya Man United mara 13.

Soma na hizi

Tupia Comments