Michezo

Man United kuanza mazoezi Jumatano

on

Kwa mujibu wa mtangazaji wa BBC Salim Kikeke club ya Man United ni miongoni mwa club chache za EPL ambazo hazijaanza mazoezi leo hadi Jumatano, Club za EPL zimeanza mazoezi wakisubiri ratiba ya kuendelea msimu wa EPL 2019/20 uliyokuwa umesimama sababu ya Corona.

Hata hivyo Ligi Kuu England msimu wa 2019/20 itaendelea June japo haijatajwa tarehe rasmi lakini Jumanne ya leo May 19 2020 ndio baadhi ya vilabu vya Ligi Kuu England vimeanza mazoezi lakini Man United ni miongoni mwa club ambazo zimepanga kuanza mazoezi Jumatano.

VIDEO: RAIS TFF ABANWA BILIONI 1 YA RAIS MAGUFULI, AMTAJA MWAKYEMBE

Soma na hizi

Tupia Comments