Michezo

Man United waifunga Luton nyumbani Carabao Cup

on

Club ya Man United leo imeifunga club ya Luton katika michuano ya Carabao Cup kwa ushindi wa magoli 3-0.

Magoli ya Man United yakofungwa na Anthony Martial kwa mkwaju wa penati dakika ya 44, Marcus Rashford dakika ya 88 na goli la mwisho likifungwa dakika mbili za nyongeza na Greenwood.

Kwa matokeo hayo sasa ni wazi Man United wanasonga mbele katika hatua ya round ya nne ambapo watacheza na mshindi wa mchezo wa Preston North End dhidi ya Brighton.

Soma na hizi

Tupia Comments