Michezo

Man United yairudia rekodi mbovu Old Trafford vs Spurs

on

Man United leo iliwakaribisha Tottenham Hotspurs katika muendelezo wa michzo ya Ligi Kuu England msimu 2020/21, Jose Mourinho akirejea Old Trafford safari hii akiwa mpinzani wa Man United.

Leo ikiwa ni tofauti na matarajio ya wengi Man United imewakumbusha tena majonzi mashabiki wake baada ya kupoteza mchezo huo kwa magoli 6-1.

Hii inajirudia tena baada ya Miaka 9 kupita toka pale Man United October 2011 walipofungwa 6-1 dhidi ya Man City.

Soma na hizi

Tupia Comments