Video Mpya

VideoMPYA: Man Fongo ameuanza mwaka 2018 na “Lau Nafasi”

on

Leo January 13, 2018 nakusogezea video mpya kutoka kwa mkali wa Kisingeli Man Fongo ambaye ameamua kuuanza mwaka 2018 kwa kuachia video ya “Lau Nafasi” ili kuendelea kuusogeza mwaka 2018 fanya kubonyeza PLAY hapa chini na uniandikie comment yako Man Fongo atapita kuisoma.

Baada ya siku 61 za Lulu gerezani Idriss Sultan kaandika hivi

Soma na hizi

Tupia Comments