Michezo

Manara amuumbua Jerry Muro :Hajanitibu kabisa yule nimetibiwa na marafiki” (+video)

on

Siku moja baada ya aliekuwa Msemaji wa timu ya Yanga ambae kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuongea na waandishi wa habari na kumtaja Msemaji wa Simba Haji Manara kuwa amedumu kwenye usemaji kwa muda mrefu na hataki kuachia ngazi.

Leo Haji Manara ameongea na Waandishi wa Habari muda kidogo baada ya kukabidhi kadi mpya za mashabiki wa Simba Mwanza.

JERRY MURO AELEZA MSIMAMO WAKE WALIOTAFSIRI KAMPONA EYMAL NA KUMSIFIA MKWASA

Soma na hizi

Tupia Comments