Michezo

PICHA 7: Manchester United walivyowasili nyumbani baada ya mechi ya jana

on

Baada ya jana kuchezea kichapo cha mwendokasi, cha magoli 4 – 0 dhidi ya wazee wa Darajani Chelsea The Blues, Nimezipata picha zinazowaonesha wachezaji wa Manchester United na Kocha Jose Mourinho wakirejea nyumbani wakiwa na nyuso za hasira na huzuni.

Miamba hao kutoka Old Trafford walijikuta wakibanwa pumzi na The Blues, sekunde ya 31 ya mchezo baada ya mchezaji Pedro.

Matokeo ya mechi hii yameongeza kibarua kigumu kwa kocha Jose Mourinho kuweza kubadili sura ya club hiyo ambayo imekua ikishuhudia vipigo mra kwa mara.

Hapa nimekuwekea picha 7 za Manchester  United baada ya kuondoka Stamford Bridge Jumapili jioni.

mourinho-2
mourinho-3
mourinho-4
mourinho-5
mourinho-6

 

Soma na hizi

Tupia Comments