Michezo

Matokeo ya Man City Vs West Ham United yapo hapa (+Pichaz&Video)

on

Klabu ya Manchester City ya Uingereza September 19 imeikaribisha klabu ya West Ham United katika uwanja wake wa nyumbani Etihad kucheza mechi ya muendelezo wa Ligi Kuu soka Uingereza… Man City ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani kucheza mchezo wake wa sita wa Ligi Kuu imekubali kipigigo kutoka kwa West Ham United.

1442683453012_lc_galleryImage_Manchester_City_s_Kevin_D

Manchester City ambayo iliingia uwanjani ikiwa na rekodi nzuri toka kuanza kwa Ligi Kuu msimu huu, kwani kabla ya kucheza mechi dhidi ya West Ham ilikuwa imecheza mechi tano na kushinda zote, September 19 imepokea kipigo cha goli 2-1 kutoka kwa West Ham United, magoli ya West Ham yakifungwa na Victor Moses dakika ya 6 na Diafra Sakho dakika ya 31 ya mchezo huku goli pekee la Man City likitiwa wavuni na Kevin de Bruyne dakika ya 45.

1442686148678_lc_galleryImage_epa04939093_West_Ham_Unit

1442685323954_lc_galleryImage_Football_Manchester_City_

1442685909059_lc_galleryImage_Sept_19th_2015_Manchester

Video ya magoli yote

https://youtu.be/NuOdT8dLkbM

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments