Michezo

Video: Manchester City ilivyotwaaa ubingwa wa England kwa mara ya pili ndani ya miaka 3

on

article-2625749-1DC369EF00000578-883_636x418

Klabu ya Manchester City jana iliweza kuandika historia nyingine kwenye ligi kuu ya England baada ya kuweza kutwaa ubingwa wa Barclays Premier League kwa kuifunga West Ham United 2-0 kwenye mchezo wa mwisho EPL kwenye dimba la Eithad.

Mabao ya Samir Nasri na Vincent Kompany yalikihakikishia ubingwa kikosi cha Manuel Pellegrini mbele ya Liverpool ambao nao walishinda 2-1 mbele ya Newcastle.

LIVERPOOL VS NEWCASTLE

Liverpool vs Newcastle United 2-1 by FootyLight0

Tupia Comments