Michezo

Mane akutwa na corona

on

Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona na tayari amejitenga dhidi ya wachezaji wenzake.

Taarifa hizo zinajiri baada ya siku tatu zilizopita, kiungo mpya wa timu hiyo Thiago Alcantara kukutwa na maambukizi ya virusi hivyo.

Taarifa iliyotolewa kupitia Tovuti ya klabu hiyo inaeleza “Kama ilivyo kwa Thiago tutaendelea kufuata miongozo yote, Mane atajitenga kwa kipindi cha siku kadhaa kitakachohitajika”

INAHUZUNISHA, CHOZI LA RAIS MAGUFULI BAADA MAMA KUANGUA KILIO AKIFARIJIWA KIFO CHA MWANAE

Soma na hizi

Tupia Comments