Yanga SC jana imecheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2022 dhidi ya Taifa Jang’ombe na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-0 katika uwanja wa Amaan Unguja Zanzibar.
Maneno ya Haji Manasra baada ya kushuhudia ushindi wa Yanga 2-0 (+video)

Leave a comment
Leave a comment