Habari za Mastaa

Maneno ya Zamaradi kwa Kwisa na mkewe, kisha awapa zawadi hii (video+)

on

Ni usiku wa Octoba 2, 2021 ambapo mtangazaji wa kipindi cha ICU alifunga ndoa na mpenzi aliekaa nae kwa muda mrefu.
Sasa miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni mtangazaji Zamaradi alivyowapa maneno ya hekima na kuwapa zawadi.

WOLPER NA MPENZI WAKE KWENYE KUTUNZA HAWAKO NYUMA TAZAMA WALIVYOTOA ZAWADI YAO KWA KWISA

WOLPER NA MPENZI WAKE HAWAJATAKA KUPITWA NA ROY WEDDING YA KWISA, TAZAMA WALIVYOINGIA

Tupia Comments