Habari za Mastaa

Maneno yanayohuzunisha ya Malcom “Napitia magumu lakini nina furaha”

on

Ikiwa bado tuko kwenye Simanzi na Majonzi baada ya kufariki kwa mtoto wa Mtangazaji Masoud Kipanya aitwae Malcom Ally.Sasa hapa kupitia Ayo TV nimekusogezea ujionee baadhi ya video zake alizokuwa akiziposti enzi za uhai wake kupitia instagram huku akizungumza.

TAZAMA DIAMOND NA ALIKIBA WALIVYOWAHI KUMUIMBIA ‘MALCOM’ ENZI ZA UHAI WAKE

 

Tupia Comments