Michezo

Kuhusu mechi ya Man United na Cardiff matokeo yake haya hapa.

By

on

images2Kiungo mpya wa Man United Juan Mata ameonekana kuingia na baraka kwa kuingoza timu yake mpya ushindi wa mabao 2-0.

1390939903548_lc_galleryImage_Robin_van_Persie_of_ManchUpande wa mechi ya leo Mata ametoa mchango mkubwa sana hasa kama uliangalia mpira ile pasi yake ya bao la pili lililofungwa na Ashley Young lakini Kabla ya hapo Robin van Persie ambaye  aliyekuwa anauguza majeraha yake amerejea na alifanikiwa kufunga mapema goli la kwanza.

Baadaye van Persie alitoka na nafasi yake kuchukuliwa na Wayne Rooney ambaye pia alikuwa majerudi.

Tupia Comments