AyoTV

VIDEO: ‘Watanzania tunahitaji mtu kama Mange’- Faiza Ally

By

on

AyoTV Entertainment leo imepiga story na Faiza Ally ambaye ni moja kati ya wanawake wanaopata social media attention kutokana na lifestyle yake na ametuelezea sababu za kurushiana maneno kwenye mitandao. Aidha ameieleza AyoTV na millardayo.com sababu za kumpenda Mange Kimambi licha ya kuwa akijibishana naye sana kwenye mitandao.

>>>Kiukweli wakati tulipokuwa tunagombana na Mange sio kwamba nilikuwa namchukia na sidhani kama yeye pia ananichukia ila ninachojua ni kwamba kisa cha Mange mimi na yeye kuanza kutupiana maneno ni kuna siku niliandika kwamba timu Wema Wapumbavu na nilikuwa na sababu za kuandika vileFaiza Ally

>>>Hata kama nilisema vile sikuwa namlenga moja kwa moja Wema nilikuwa nailenga timu yake kwasababu kiukweli mimi Wema sijawahi kukutana naye wala sijawahi kugombana naye sasa Mange inapokuja Wema katajwa either kwa zuri, baya au labda sio kwa nia mbaya yeye anachukulia kama ni tatizo kama unamchukia Wema.- Faiza Ally.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama full Interview  na Faiza Ally >>>

Video: Mtoto wa Diamond Platnumz kabla ya Tiffah na Nillan >>>

Soma na hizi

Tupia Comments