AyoTV

VideoFUPI: Yusuph Manji alivyofikishwa mahakamani Kisutu DSM

on

Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Club ya soka ya Yanga Yusuph Manji ni miongoni mwa Watu 65 waliotajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya.

Leo February 16 2016 Yusuph Manji amefikishwa mahakamani muda huu kwa tuhuma za kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya.

Ulikosa hii ya Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments