Habari za Mastaa

Bilioni….za Jay Z na Beyonce zimetoka kununua mjengo huu…(Pichaz)

on

bey4

Kuna wakati Beyonce na mumewe Jay Z waliamua kuishi hotelini kwa muda wakidai hawajaona nyumba ya kununua kwa ajili ya wao kuweza kuishi.

Ni hivi karibuni Jay Z ametajwa na jarida la Forbes kushika nafasi ya tatu kwa utajiri akiwa na zaidi ya dola milioni 500 kwa mastaa wa Hiphop wenye utajiri mkubwa zaidi.

Sasa stori iliyochukua headlines ni wawili hao ni kuamua kununua nyumba ya kifahari yenye thamani ya pauni milioni 2.6 iliyopo New Orleans Garden, Marekani.

Jengo hilo kabla ya kukarabatiwa lilikuwa ni kanisa.

Tazama picha za mjengo wao hapa.

bey

bey10

bey3

bey4

bey5

bey6

bey7

bey8

utama

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments