Michezo

Manula afunguka baada ya kushinda tuzo ya Golikipa bora msimu 2020/21 (video+)

on

Usiku wa October 21 2021 ndio zilifanyika tuzo za TFF ambapo zililenga kutambua juhudi za Wachezaji, Makocha, Waamuzi na Viongozi waliofanya vizuri katika soka hususani msimu wa 2020/2021.

Miongoni mwa waliowania tuzo hizo ni Kipa wa Simba SC Aishi Salum Manula ambae ameshinda Tuzo ya Golikipa bora wa msimu wa 2020/2021 katika Tuzo za TFF.

BAADA YA KUMSHINDA MANARA NA BWIRE, BONGOZOZO AFUNGUKA

Tupia Comments