Top Stories

PICHA 16: Yusuf Manji akitoka Mahakamani baada ya kuachiwa huru

on

Leo September 14, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi yake ya uhujumu uchumi aliyokuwa anakabiliwa na wenzake ambapo hatua hiyo imekuja baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kuwasilisha hati Mahakamani ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.

BREAKING: Mahakama ya Kisutu imemuachia huru Yusuf Manji

Soma na hizi

Tupia Comments