Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: “Kuna wanaume hawataki wake zao wafanye kazi” – Dr. Tulia Ackson
Share
Notification Show More
Latest News
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: “Kuna wanaume hawataki wake zao wafanye kazi” – Dr. Tulia Ackson
AyoTV

VIDEO: “Kuna wanaume hawataki wake zao wafanye kazi” – Dr. Tulia Ackson

July 3, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Msemo maarufu wa kutoa ni moyo umeendelea kuongeza hamasa katika maisha ya kila siku baada ya Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson kuongoza Harambee ya SACCOS za Wanawake katika Wilaya ya Mbulu, Manyara ambapo zaidi ya Tsh. 20m zilipatikana ikiwemo ahadi.

Dr. Tulia amesema “Ukweli ni kwamba bila kukopa ni ngumu kuendelea, watu tunapenda kusikiliza habari kama za Marekeni, lazima mjue hata Marekani inadaiwa hivyo lazima mjue hata matajiri hapa duniani wanadaiwa”

“Mnachotakiwa kujua ni kwamba kudaiwa sio jambo baya ila unapokopa lazima uweze kulipa kwahiyo niwaombe wakinamama endeleeni kuwekeza katika SACCOS zenu ili kukuza biashara zenu” –Dr. Tulia

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: MBEYA: Dr. Tulia na Waziri Nape kwenye Tulia Marathon 

You Might Also Like

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

TAGGED: Ayo TV, habari daily, matukio, TZA HABARI
Admin July 3, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Walichokifanya Navy Kenzo kwenye stage DRC
Next Article HEKAHEKA: Baba amfunga mwanawe kamba na kumfungia ndani siku nzima
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?