AyoTV

VIDEO: Wanaume na Wanawake kwenye mapenzi ya sasa – Dr. Chris Mauki

on

Najua kuna watu wangu wengi wanapenda kujifunza mambo mbalimbali katika maisha yao ya kila siku haijalishi yawe yakuhusu siasa, afya n.k

Sasa leo nakukutanisha na Dr Chris Mauki ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya saikolojia ambaye alifunga safari hadi makao makuu Dodoma kwa ajili ya kutoa mafunzo kuhusu mambo ya mapenzi kupitia semina iliyoitwa Lovevers Night iliyoandaliwa na kampuni ya Opy general enterprises na hapa kuna dakika zake muhimu kwako…

ULIMISS MAWILI YA MTAALAMU WA SAIKOLOJIA CHRIS MAUKI KUHUSU USHOGA

Soma na hizi

Tupia Comments