Top Stories

Maofisa saba wa Polisi wakamatwa kwa tuhuma za mauaji Mtwara (video+)

on

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linawashikilia maofisa Saba wa Polisi kwa tuhuma za mauaji.

Aidha Kamanda wa Polisi Mark Njera amesema endapo uchunguzi ukikamilika watafikishwa Mahakamani.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa hiyo unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

ASKARI ALIYESHTAKIWA KWA MAUAJI AJINYONGA MAHABUSU KWA TAMBALA LA KUDEKIA

Soma na hizi

Tupia Comments