Maofisa wa Polisi wanaotuhumiwa mauaji ya muuza Madini wafikishwa Mahakamani
Share
0 Min Read
SHARE
Maofisa wa Polisi ambao wanatuhumiwa kwa mauaji ya Mfanyabiashara wa madini Mkoani Mtwara, Musa Hamis wamepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara huku ulinzi wa Polisi ukiwa umeimarishwa ndani na nje ya Mahakama.