AyoTV

VIDEO: ‘Tukiudharau mwenge tutapata shida’- Sixtus Mapunda

on

Kutokea bungeni Dodoma leo May 5, 2017 Wabunge walikuwa wakijadili na kuchangia mapendekezo katika Wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo.

Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda ni miongoni mwa waliosimama na akatumia time yake kuwajibu wanaosema Mwenge wa Uhuru hauna faida yoyote kwa taifa.

VIDEO: Kipindi cha maswali na majibu Bungeni May 5, 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments