Habari za Mastaa

Mapendekezo:Ukitaka kufanya Harusi ‘No Matrons, No Watoto meza watu watano

on

NI MEI 28, 2020 ambapo kulikufanyika mkutano wa washehereshaji, wasanii, wadau mbalimbali wa sanaa kueleza mapendekezo yao walivyojipanga  kuendelea na huduma zao hasa kwenye kipindi hiki cha Janga la Corona.

Kikao hicho kilisimamiwa na Katibu wa Baraza la Sanaa Tanzania Godfrey Mngereza na Mwenyekiti wa Bodi ya BASATA, Bw Hiddi Gunze, sasa hapa nimekusogezea mapendekezo ya washehereshaji wa maharusi itazame hii video hapa

 

Soma na hizi

Tupia Comments