Michezo

Mapigo ya Karate na masharti yake”Ni Technique hatari”(+video)

on

Ikiwa ni Machi 7, 2019 tunayo stori kuhusu mchezo wa Karate ambapo inaelezwa kuwa ili aweze kuucheza mchezo huo anapaswa kuwa na nidhamu na asiutumie vibaya.

Akizungumza na Ayo Tv na millardayo.com, Mkufunzi Mkuu wa JKA, Sensei Jerome Muhagama amesema Karate ni mchezo unaowataka watu kuwa wazalendo hasa linalohusu jamii.

Karate inataka mtu aishi kwa vitendo kama unajifunza ngumi ama mateke na kimsingi inaweza kuwa ni hatari zaidi kama haimpati mtu bora, hivyo Karate inamtaka Karateka asiitumie vibaya, kwani unasisitiza uzalendo na nidhamuamesema.

KICHEKO CHADEMA: MBOWE NA MATIKO WALIVYOACHIWA HURU, WATINGA MAKAO MAKUU

Soma na hizi

Tupia Comments