Mix

Pichaz za Sherehe ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

on

 

 

19Jana ilikua ni kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,sherehe hizi zilihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi,Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hizo.

10

09

08

07Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya viongozi waalikwa katika sherehe hizo za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

6

04

03Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein akipunga mkono kusalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Amani katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi  ya Zanzibar.

02

01Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal wakisalimiana na baadhi ya viongozi wa Ulinzi na usalama wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Amani.

Tupia Comments