ospitali ya Taifa Muhimbili imetolea ufafanuzi taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa kijamii kuhusu Joseph Haule Joseph Haule maarufu Professor Jay na kusema “Kuna video inayosambazwa na Mtandao wa Mange Kimambi ikimuonesha Professor Jay akipatiwa matibabu Muhimbili Hospitali Upanga”
“Uongozi wa Hospitali unatoa taarifa kuwa video hii haijarekodiwa na kusambazwa na Hospitali, tumesikitishwa na tunalaani vikali kitendo hiki cha kumrekodi mgonjwa anayepigania uhai wake ICU na kuisambaza, hiki ni kiwango cha juu cha kukosa utu na maadili”.
Kwa taarifa zaidi Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.